Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai (kulia) akimkabidhi Mbunge wa Kuteuliwa, Janeth Massaburi vitendea kazi baada ya mbunge huyo kuapishwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai katika kikao cha kwanza cha mkutano wa tisa wa Bunge, mjini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi