Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bunge, Freeman Mbowe (kulia) akimuuliza swali Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge, mjini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 1/7
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo ya wabunge katika kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge, mjini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 2/7
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akitoa kauli ya serikali bungeni kuhusu udaili na mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu, mjini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 3/7
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe akizungumza bungeni alipokuwa akijadili mapendekezo ya mpango wa maendeleo ya taifa na mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/2019, mjini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 4/7
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akizungumza bungeni alipokuwa akijadili mapendekezo ya mpango wa maendeleo ya taifa na mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/2019, mjini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 5/7
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba akizungumza bungeni alipokuwa akijadili mapendekezo ya mpango wa maendeleo ya taifa na mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/2019, mjini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 6/7
Mbunge wa Sumve, Richard Ndasa akizungumza bungeni alipokuwa akijadili mapendekezo ya mpango wa maendeleo ya taifa na mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/2019, mjini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi