Mbunge wa jimbo la Kilomero, Peter Lijualikali akipanda gari la polisi kurudi mahabusu ya gereza la mkoa wa Morogoro kufuatia yeye na wenzake 36 kutuhumiwa kuharibu mali baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa marudio wa kata ya Sofi wilayani Malinyi uliofanyika mwezi uliopita. Picha na Juma Mtanda.