MwanzoContactsEmail
Home Tangaza
BOOKMARK THIS PAGE
Tangaza, tangazia Tanzania, Mwananchi, Advertise to Tanzanians Online: Advertise, Tanzania, Advertise on The Citizen, Advertise Tanzania, Tanzania Newspaper.
Tangaza  Send to a friend
Tuesday, 26 January 2010 14:20

Tangaza na Mwananchi

Mwananchi ni gazeti linaloongozaTanzania. Ni gazzeti la kila siku ambalo linasambwazwa kwenye mikoa yote mikubwa ya Tanzania bara na visiwani. Ndiyo gazeti linaloongoza kwa kusomwa na watu wengi hapa Tanzania, likiwapita wapinzani wake kwa mbali sana.

Gazeti la Mwananchi linamiliki asilimia zaidi ya 47 ya soko la wasomaji wa magazeti  ya Kiswahili Tanzania, mpizani wa karibu akiwa anashikilia chini ya asilimia 21. Kwahiyo, ukitangaza na Mwananchi una uhakika wa kufikia Watanzania wengi zaidi.

Pia tovuti ya mwananchi (mwananchi.co.tz) inapokea zaidi ya wageni elfu kumi kila siku. Ikiwa inapokea zaidi ya wageni 300,000 kwa mwezi. Hii pia ni sehemu nzuri ya kutangaza biashara yako ukizingatia kwamba watu wengi sasa wanatumia mtandao kila siku.

KUJUA BEI ZETU ZA MATANGAZO WASILIANA NASI KUPITIA UKURASA WA MAWASILIANO (CONTACTS)
AU TUMA This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

 

Vile Vile unaweza ukaongea nasi kwa njia ya Chat kwa kupitia vyombo mbalimbali kama vile:

Skype: beda.biswalo

Google Talk: bbiswalo

Yahoo Messenger: bbiswalo

Mxit: 255788455234

 

 


Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
Last Updated on Wednesday, 01 June 2011 11:25
 
Banner