Viroba kupigwa marufuku Tanzania

4items Siku moja kabla ya kuanza utekelezaji wa katazo la pombe kali ndani ya vifungashio vya plastiki maarufu viroba, Kampuni ya Perfect Printers Ltd, inayohusika na usambazaji wa vifungashio hivyo imeeleza kupata hasara ya Dola za Marekani 65,000 sawa na Sh140 milioni.

Mon Feb 20 14:26:59 EAT 2017

Kikosi kazi chaundwa kuzuia 'viroba' toka nje

Sun Feb 19 21:13:36 EAT 2017

Kiama cha viroba kesho

Sat Feb 18 21:37:56 EAT 2017

‘Vijana watumiaji wakubwa wa viroba’

Wed Feb 22 23:45:00 EAT 2017

CTI: Viroba kufilisi wawekezaji