Mauaji ya kinyama kwa viongozi Kibiti

3items Mfululizo wa mauaji yanayotokea katika wilaya ya Kibiti, umezua taharuki baada ya jumla ya viongozi wanane wa serikali  kuuawa katika  kipindi miezi kumi.

Fri Feb 24 23:30:00 EAT 2017

Simulizi mauaji ya Kibiti

Thu Feb 23 10:27:36 EAT 2017

Bosi wa polisi auawa

Thu Feb 23 08:40:48 EAT 2017

Kanda Maalum ya Polisi yanukia Pwani