Jiji la Dar lakumbwa tena na vurugu na kusimamisha huduma

Saturday October 27 2012

Baadhi ya watu waliokamatwa na polisi kutoakana

Baadhi ya watu waliokamatwa na polisi kutoakana na vurugu jijijni Dar ni Nairobi 

IT MANAGER

Jiji la Dar es salaam leo limekumbwa tena na vurugu baada ya askari wa kutuliza ghasia (FFU) kulipua mabomu ili kusambaratisha vikundi vya vijana wa wanaodaiwa kuwa wa Kiislam ambao walikuwa wameamua kumtoa mikononi mwa polisi  kiongozi wao Sheikh Ponda.

Software Engineer

Kutokana na ghasia hizo usafiri wa mabasi na magari binafsi ulisimamama kwa saa kadhaa huku wananchi wakitimua mbio kila upande  na baadhi yao wakigongana wenyewe kwa wenyewe baada ya kuathirika na moshi wa mabomu ya polisi.

Receptionist

Watu wasiopungua 50 wanakadiriwa kujeruhiwa na ghasia hizo na watu wengine zaidi ya 150 wengi wao wakiwa vijana wamekamatwa  Kamanda Gewe wa  Polisi, ametoa taarifa kwa vyombo vya habari.