Biashara ya nyama yadoda Ijumaa Kuu Mwanza Ijumaa ya mwisho wa juma kabla ya Pasaka hutumiwa na wakristo kuabudu huku wakitakiwa kutokula kitoweo chenye damu
Zena: MCL inaonesha kwa vitendo namna ya kuimarisha mshikamano Zena ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Machi 25, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni ya The Citizen Rising Woman katika Hoteli ya Madnat, Unguja Zanzibar
PRIME Huyu ndiye Bassirou Faye aliyeishangaza dunia kutokea Senegal Kiongozi wa upinzani Senegal, mwenye nguvu zaidi, Ousmane Sonko, alitarajiwa kuwa mgombea urais mwenye nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi mkuu 2024, hata hivyo alizuiwa kugombea.
Ongezeko mauzo ya bustani nje ya nchi na athari zake kiuchumi Kuimarika kwa uhusiano wa kidiplomasia, uwepo wa sera wezeshi katika sekta ya biashara na miundombinu zimetajwa kuwa sababu za kupaa kwa mauzo ya mazao ya bustani nje ya nchi, ikiwemo mbogamboga...
Yanga yatuma salamu za pole kwa Simba Uongozi wa Yanga umetuma salamu za pole kwa Simba baada ya ajali iliyotokea na shabiki mmoja wa timu hiyo kufariki dunia. Alifajiri ya leo shabiki mmoja wa Simba amefariki dunia wakati gari...
Suge: Diddy yupo hatarini Mkurugenzi wa zamani wa ‘lebo’ ya Death Row Records, Suge Knight, amefunguka mengi kuhusiana na tuhuma zinazomkabili mkali wa Hip-Hop Diddy kwa kueleza kuwa Combos kwa sasa yupo hatarini, huku...
Kuna la kujifunza kauli ya Ndumbaro Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amezua mjadala kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni aliposema atasikitishwa endapo ataona Watanzania wamevaa jezi za Al Ahly katika...
Kula vyakula hivi wakati wa mfungo kudhibiti unene Kufunga saumu ni moja ya nguzo tano za Uislamu. Muislamu yeyote mwenye afya njema, akili timamu anatakiwa kushiriki katika saumu kwa kujizuia kula chakula chochote katika kinywa chake, kwa muda...