Liverpool mambo magumu, Man United safi MATOKEO ya Liverpool yamezidi kumvurugia kocha wao Jurgen Klopp ambaye alikuwa na matumaini ya kuondoka mwisho wa msimu huu akiwa na ubingwa wa Ligi Kuu, lakini sasa mpango huo unaonekana kuingia...