Genk ya Samatta yaambulia sare Ligi ya Europa
Muktasari:
Arsenal imetoka suluhu dhidi ya Sporting CP kwenye dimba lake la Emirates pia Chelsea imechomoza na ushindi mwembamba baada ya kuilaza Bate Borisov bao 1-0.
Jumla ya mechi 24 ya Ligi ya Europa zimecheza jana usiku huku Arsenal ikitoka suluhu dhidi ya Sporting CP kwenye dimba lake la Emirated pia Chelsea ikichomoza na ushindi mwembamba baada ya kuilaza Bate Borisov bao 1-0.
Katika mchezo mwingine Kwenye kundi I wenyeji Genk walijkuta wakilazimisha sare dhidi ya Besiktas.
Yafuatayo ni matokeo ya makundi yote mechi zilizopigwa jana Alhamisi usiku.
Kundi A
Bayer Leverkusen1 - 0 FC Zuerich
Ludogorets Razgrad 0 - 0 AEK Larnaca
Kundi B
Celtic 2 - 1 RasenBallsport Leipzig
Rosenborg 2 - 5 Salzburg
Kundi C
Bordeaux 1 - 1 Zenit St. Petersburg
Slavia Prague 0 - 0 Koebenhavn
Kundi D
Fenerbahce 2 - 0 Anderlecht
Dinamo Zagreb 3 - 1 Spartak Trnava
Kundi E
Arsenal 0 - 0 Sporting CP
Vorskla 0 - 1 Qarabag FK
Kundi F
Olympiacos 5 - 1 F91 Dudelange
Real Betis 1 - 1 Milan
Kundi G
Rapid Wien 0 - 0 Villarreal
Spartak Moscow 4 - 3 Rangers
Kundi H
Apollon Limassol 2 - 3 Eintracht Frankfurt
Lazio 2 - 1 Marseille
Kundi I
Genk 1 - 1 Besiktas
Malmoe FF 1 - 1 Sarpsborg 08
Kundi J
Akhisarspor 2 - 3 Sevilla
FC Krasnodar 2 - 1 Standard Liege
Kundi K
FC Astana 2 - 1 Jablonec
Dynamo Kyiv 3 - 1 Rennes
Kundi L
BATE Borisov 0 - 1 Chelsea
Vidi FC 1 - 0 PAOK Thessaloniki FC