VIDEO: Droo ya Kwanza ya Shinda mchongo wa Mwanaspoti


Safari ya wiki 12 ya kugawa 100,000/=, smatifoni, bodaboda na kubwa zaidi ya 10,000,000 ndio kwanza imeanza na ndio tupo wiki ya kwanza,  washindi saba wa wiki wameshaondoka na zawadi zao.
Tazama video nzima  jinsi washindi wa shindano la mchongo wa Mwanaspoti wiki ya kwanza walivyopatikana


Na wewe pia unaweza kuwa mshindi wa shindano hili.
Ni rahisi, nunua gazeti la Mwanaspoti, kisha jaza taarifa zako kwenye kuponi iliyopo ukurasa wa pili wa gazeti, kata kuponi na uwasilishe kwenye ofisi za Mwananchi Communications Ltd au muuza magazeti yeyote aliye karibu yako ili kushiriki droo ya wiki na droo kubwa ya mwisho wa promosheni.
Droo itachezeshwa kila wiki kupata washindi watano wa pesa taslimu kila mtu 100,000, smatfoni na bodaboda. Shiriki kwa kununua gazeti la Mwanaspoti mara nyingi uwezavyo ili kujiongezea nafasi ya kushinda mpaka milioni 10,000,000 kwenye droo kubwa ya mwisho wa promosheni