Wachezaji gani nguli wa Afrika?

Muktasari:

Fainali ni mchezo unaopendwa na waafrika katika bara la Afrika na huku kukiwa na mamilioni ya vijana wa kiume na kike wakiwa na ndoto za kufanya makubwa katika ulimwengu. Orodha ya wachezaji soka wa kiafrika waliofanikiwa katika ulimwengu ni ndefu, lakini ni wachache wanaweza kuitwa wachezaji nguli.

Afrika imezalisha wasakata kabumbu wenye majina makubwa katika ulimwengu wa mpira wa miguu kwa miaka kadhaa. Bara la Afrika linaweza kuwa halijawahi kuzalisha taifa lililowahi kushinda kombe la dunia lakini wachezaji wengi wa kiafrika wameshashinda ligi, makombe ya ndani na makombe ya ligi ya mabingwa.

Mashabiki wa mpira wa kiafrika wanabishana wachezaji gani wa kisasa wataongoza mataifa yao kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika. Mashabiki wanaweza kutumia msimbo huu wa zawadi kabla ya kuanza kubashiri timu wamazoamini zitashinda fainali hizo.

Fainali ni mchezo unaopendwa na waafrika katika bara la Afrika na huku kukiwa na mamilioni ya vijana wa kiume na kike wakiwa na ndoto za kufanya makubwa katika ulimwengu. Orodha ya wachezaji soka wa kiafrika waliofanikiwa katika ulimwengu ni ndefu, lakini ni wachache wanaweza kuitwa wachezaji nguli.

5. Roger Milla

Uchezaji wa Roger Milla na mitindo ya ukokotaji mipira ndiyo miongoni mwa kumbukumbu zinazoendelea kubaki vichwani katika fainali za kombe la dunia za 1990 na 1994. Fainali zilizofuata zilishuhudia Roger Milla akipepetana katika umri wa miaka 42. Milla alitumia muda mwingi wa usakataji kabumbu huko Ufaransa ambapo aling’aa akiwa na vilabu vya Bastia, Saint-Etienne na Montpellier. Wacameroon wanamkumbuka katika fainali za kombe la dunia za 1990 na 1994. Simba hao wasioshindika wataanza kampeni yao ya mechi za kufuzu kombe la dunia hivi karibuni na mashabiki wanaweza kutembelea 1xbet kupata zawadi ya ubashiri kabla ya kuweka “mkeka” katika mechi za kufuzu.

4. Yaya Toure

Siku moja Yaya Toure atapata heshima anayostahili lakini baadhi ya m,ashabiki hawawezi kutambua ubora wa Toure kutokana na Pep Guardiola kumuondoa Barcelona na baadaye Manchester City. Toure alikuwa nyota iliyokuwa ikichipukia alipojiunga Barcelona na kuisaidia timu hiyo kushinda mataji mawili ya ligi na kombe la klabu bingwa Ulaya. Alikuwa miongoni mwa usajili wa fedha nyingi alipotua Man City na kuisaidia klabu kuwa shindani. Alishinda mataji matatu ya ligi akiwa mchezaji wa City.

3. George Weah

Goli la George Weah la 1996 aliloifungia AC Milan dhidi ya Hellas Verona ni moja ya goli lililosherehekewa katika historia ya mpira wa miguu katika Serie A. Goli linaishi katika kumbukumbu za mashabiki wengi wa Rossoneri lakini Weah alikuwa zaidi ya goli moja. Weah alishinda tuzo ya mchezaji bora wa karne wa kiafrika mwaka 1996 wakati wa msimu wake wa kwanza AC Milan ambapo alifunga magoli 46 katika michezo 114 ya ligi kwa klabu hiyo.

2. Didier Drogba

Drogba alikuwa miongoni mwa wachezaji waliokuwa wagumu kuwakabili katika uchezaji wake mpira wote. Mshambuliaji huyo alijijengea jina lake mwenyewe huko Guingamp kabla ya kujiunga Marseille. Pindi Chelsea walipomsajili 2004, vyombo vya habari havikuwa na taarifa nyingi kuhusu yeye. Drogba aliacha alama kama mchezaji mwenye nguvu, kasi. Alifunga magoli 100 akiwa Stamford Bridge katika michezo 226 ya ligi.

1.Samuel Eto’o

Samuel Eto’o anampiku pahala kidogo Drogba kama mchezaji bora wa Afrika. Mshambuliaji huyu alikuwa bora sana akiwa Barcelona, Inter Milan na Chelsea. Alishinda mataji amtatu ya La Liga huko Uhispania na mataji mawili ya klabu bingwa Ulaya. Eto’o alikuwa sababu ya Inter Milan kushinda klabu bingwa Ulaya mwaka 2009-10 baada ya kujiunga Nerazzurri msimu uliofuata. Eto’o alikuwa nyota katika ngazi ya kimataifa pia, akiiongoza Cameroon kushinda mataji mawili ya kombe la mataifa ya Afrika 2000 na 2002. Yeye ni mchezaji bora wa Afrika kwa mara nne, Eto’o atakuwa mchezaji mgumu kumuangusha akiwa mchezaji bora wa soka.