Ishu ya Manji kurudi Yanga iko hivi.. Manji amesema kwake alitanguliza maslahi ya Yanga na soka mbele kwa vile mchezo wa mpira wa miguu unashikilia furaha ya wengi.