Matiko ampa somo la Katiba Rais Magufuli
Mbunge wa tarime mjini Ester Matiko leo amelieleza bunge kwamba kitendo cha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kuhamisha fedha toka eneo moja kwenda eneo jingine pasipo bunge kuwa na taarifa, ni uvunjaji wa katiba.
Sun May 01 17:09:29 EAT 2016