Wabunge wapitisha bajeti ya Maji na Umwagiliaji, wataka wakala wa maji vijijini
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya wizara ya maji na umwagiliaji ya Sh979.5bilioni huku naibu Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson akiitaka Serikali kuhakikisha kuwa inatatu changamoto zote zilizoainishwa wakati wa mjadala.
Sun Jun 05 21:11:08 EAT 2016