Serikali yaagiza ujenzi wa majengo rafiki kwa walemavu
Serikali imewakumbusha wale wote wanaojenga majengo maalum yakiwemo ya ghorofa, kuweka miundombinu rafiki ili kuwawezesha wanafunzi wenye ulemavu kupata huduma za kielimu pasipo vikwazo.
Mon Jun 27 16:01:10 EAT 2016