Kupatwa kwa jua fursa ya uchumi kwa Tanzania
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala amesema kitendo cha kupatwa kwa jua ni ishara ya kufungua fursa za kiuchumi na kiutalii katika mikoa ya nyanda za juu kusini
Fri Sep 02 10:47:31 EAT 2016