Gagaja yaja na kijiji cha mfano Kisarawe, mamia kunufaika
Kampuni ya Gagaja imeanza mchakato wa kuanzisha kijiji cha mfano katika eneo la kisarawe ambapo zaidi ya wakazi 580 wanatarajia kunufaika katika mradi huo.
Fri Sep 02 17:22:22 EAT 2016