Dendego awakunjulia makucha walanguzi zao la korosho
Msimu mpya wa korosho wa mwaka 2016/2017 umefunguliwa rasmi Septemba mosi ambapo kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Mtwara imeanza kazi ya kuhakikisha taratibu za ununuzi wa zao hilo zinafuatwa na wauzaji na wanunuaji.
Wed Sep 07 13:20:21 EAT 2016