Bandari Mtwara yalumbana na wananchi
Wakazi wa vijiji vya Mgau na Kisiwa vilivyopo katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara vijijini, wameilalamikia mamlaka ya usimamizi wa Bandari nchini (TPA) kwa kuchukua eneo la mashamba yao yenye ukubwa wa hekari 2500
Wed Sep 21 15:54:08 EAT 2016