Katani, hatuwezi kuendesha nchi kwa dhuluma
Mbunge wa Jimbo la Tandahimba Katani katani, amesema Tanzania haiwezi kuwa na mipango mizuri ya kuwasaidia wananchi kiuchumi kama nchi isipozingatia misingi ya uwajibikaji na utawala bora.
Fri Nov 04 09:52:43 EAT 2016