HAIJAPATA KUTOKEA: Sitta kuagwa ndani ya ukumbi wa Bunge
Bunge leo limetengua kanuni zake na kuruhusu jeneza la mwili wa spika mstaafu, Samwel Sitta kuagwa ndani ya Ukumbi wa Bunge.
Thu Nov 10 15:11:50 EAT 2016