DC Gondwe aagiza kila shule Handeni iwe na chakula kwa wanafunzi
Maofisa elimu, walimu wakuu na kamati za shule za msingi katika halmashauri ya mji wa Handeni wametakiwa kuhakikisha wanaweka utaratibu utakaowezesha wanafunzi kupata chakula mchana.
Sun Apr 02 14:10:21 EAT 2017