Alichokizungumza mbunge Chumi Mchanga wa dhahabu bandarini
Mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi amesema mtanzania yeyote asiyekuwa na mapenzi mema na uzalendo kwa taifa lake, ndiye anaweza kupiga kelele kuhusu kitendo cha rais John Pombe Magufuli kuzuia Mchanga wa zahabu bandarini.
Tue May 30 13:39:36 EAT 2017