Wananchi waanza kuvunja nyumba zao Dar
Ni bomoabomoa inayoendelea katika barabara ya Morogoro ambapo wakazi na wananchi wanaoishi ndani ya hifadhi ya barabara hiyo wameamua wao wenyewe kutii sharia bila shuruti kwa kuanza kubomoa nyumba zao.
Fri Jul 28 18:18:57 EAT 2017