Dk Mpango apokea hundi ya Sh4.5bilioni kama gawio toka Puma
Kampuni ya Puma Energy Tanzania imekabidhi leo hundi ya Shilingi bilioni nne na milioni mia tano, kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kama gawio kwa mwaka 2015, baada ya kampuni hiyo kufanya vizuri na kupata faida.
Fri Jun 10 10:02:00 EAT 2016