Mwongozo wa Bashe kuungua kwa soko nzega, Dk Tulia atoa maagizo
Serikali imesema bado haijapata taarifa kamili za kuungua kwa soko katika jimbo la nzega na kwamba imemuagiza mkuu wa mkoa wa Tabora kuhakikisha kuwa anafuatilia jambo hilo ili Serikali iweze kulitolea taarifa.
Wed Jun 08 11:01:27 EAT 2016