Nape ahaidi kumaliza kero ya usikivu wa TBC maeneo ya mipakani na pembezoni
Wazir wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema Serikali inatafuta namna ya kupeleka mitambo ya TBC katika wilaya 81 ambazo hazina usikkivu wa radio na televisheni na kipaombele chao ni katika maeneo ya mipakani na pembezoni.
Sat Jun 25 18:13:40 EAT 2016