VIDEO: Mamba, viboko wakwamisha ujenzi wa daraja

Thursday January 18 2018

By Joyce Joliga, Mwananchi

Songea. Ujenzi wa Daraja la Mto Ruhuhu linalounganisha mikoa ya Ruyvuma na Njome umekwama kutokana na changamoto kadhaa wakiwamo wanyama wakali kama mamba na viboko ambao wanatishia usalama wa mafundi.

Ujenzi huo unagharimu zaidi ya Sh6.1 bilioni.