Wizara ya habari yaomba Sh20.3bilioni
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa, na Michezo Nape Nnauye akisoma bajeti yake bungeni, amesema ili wizara yake iweze kutekeleza majukumu yake inahitaji Sh20.3bilioni katika mwaka wa fedha 2016/17.
Mon May 16 14:45:56 EAT 2016