Waziri aipa ushauri kampuni ya mafuta

Stella Manyanya

Muktasari:

Kampuni ya GBP imeshauriwa kuanzisha vituo vidogo maeneo ya vijijini ili kuwaepusha wananchi kuuziana mafuta kwenye vichupa.