Mapenzi chanzo Tiwa kuingia kwenye muziki Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Tiwa Savage ameweka wazi kuwa aliingia kwenye muziki kwa sababu ya mwanaume, lakini ndoto yake ilikuwani uigizaji.