Saudi Arabia yatangaza kushiriki Miss Universe 2024 kwa mara ya kwanza Kwa mara ya kwanza katika historia Saudi Arabia imeripotiwa kushiriki katika shindano la Miss Universe 2024, ikiwakilishwa na Miss Saudi Arabia 2021 Rumy Alqahtani (27).