Polepole alivyojiuzulu ubalozi, CCM yatia neno Polepole amethibitisha kwamba, barua hiyo inayosambaa mitandao ni yake na ameandika mwenyewe kujiuzulu katika nafasi hiyo.
PRIME CCM katikati ya uamuzi mgumu Ugumu unatokana na kwamba, ndio uamuzi ambao aghalabu unaweza kuleta mpasuko au wagombea wasiokubalika na hatimaye chama hicho ama kupata ushindi mwembamba au kuanguka katika baadhi ya majimbo.
Majambazi Kigoma ‘wambipu’ Sirro, wateka basi la abiria Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja imepita tangu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro alipohitimisha ziara ya kikazo Wilaya ya Kigoma aliyoianza Julai 7 hadi 11, 2025.
PRIME Jinsi ‘power bank’, chaja zinavyoweza kuharibu simu yako Kimsingi kuharibika kwa betri ya simu hasa zile za Lithium-ion, kunatokana na muda wake na jinsi unavyoitumia.
Askofu Malasusa: Dk Mono uwe Yusufu wa Mwanga Dk Mono alichaguliwa Machi 10, 2025 katika mkutano mkuu maalumu, baada ya askofu aliyekuwepo Chediel Sendoro kufariki kwa ajali, Septemba 9, 2024 iliyotokea katika eneo la Kisangiro, Wilaya ya...
PRIME Kutoka mipango, mauaji mpaka askari kunyongwa - 14 Katika sehemu iliyopita, tuliona namna Jaji Mwanga alivyoliondoa katika hatia kundi la kwanza la washtakiwa wanne, kati ya makundi matatu aliyoyatenga; leo anaendelea na mshtakiwa wa...
Ripoti ya kampuni ya Carbon Tanzania yaonyesha maendeleo makubwa katika jamii kutokana na faida za miradi ya hewa ukaa
Polepole alivyojiuzulu ubalozi, CCM yatia neno Polepole amethibitisha kwamba, barua hiyo inayosambaa mitandao ni yake na ameandika mwenyewe kujiuzulu katika nafasi hiyo.
EU yazindua programu ya Afrika, Ulaya kubadilishana utamaduni Umoja wa Ulaya (EU), umesema utaendelea kushirikiana na Afrika katika kuwawezesha wasanii wa mabara hayo mawili kuongeza ufanisi katika kazi zao za sanaa na utamaduni.
Polepole alivyojiuzulu ubalozi, CCM yatia neno Polepole amethibitisha kwamba, barua hiyo inayosambaa mitandao ni yake na ameandika mwenyewe kujiuzulu katika nafasi hiyo.
Wadau wa Taboa kusaka suluhu kero wanazokumbana nazo Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kinatarajiwa kufanya mkutano wake mkuu utakao toa fursa kwa wanachama kujadili mambo mbalimbali yanayoikabili sekta hiyo na kuja na maazimio ya pamoja.
Lamine Yamal na miaka yake 18 Leo Lamine Yamal amekuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 18, lakini tayari amefanikisha mambo makubwa kwenye soka ambayo Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawakuwahi...
JB, Joti, Phina wang'ara tuzo za hapaward Usiku wa kuamkia leo Julai 13, 2025 imefanyika hafla ya ugawaji wa tuzo za Hapawards 'Hollywood and African Prestigious Awards' kwa washindi waliyonyakua tuzo hizo mwaka 2024
PRIME Kwa nini watia nia ubunge CCM wanatakiwa kujiandaa kisaikolojia? Kwa sababu sifa za kuteuliwa kwa mujibu wa kanuni za uteuzi wa wagombea uongozi katika vyombo vya Dola, toleo la 2021 zipo sita hivyo unaweza kuwa nazo zote lakini ukakiuka maadili yale yaliyopo...
Malala Fund yatenga Sh7 bilioni kusaidia wasichana waliokatishwa masomo Tanzania Lengo la mpango huu ni kuhakikisha wasichana hao wanapata fursa ya pili ya kujifunza, kujijengea maisha bora, na kuchangia maendeleo ya jamii zao.