Wakati Marekani ikitangaza kuweka vikwazo kwa baadhi ya maofisa wa Serikali ya Tanzania kwa madai ya kuvuruga uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imejibu madai hayo...
Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Isaac Amani ametoa waraka akiwataka waumini kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Covid-19 ikiwa ni...
Jeshi la Polisi Mkoa linamshikilia Pendo Carlos kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo na kujaribu kuwaua wanaye wawili katika tukio...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla amefariki dunia jana Jumatano Januari 20, 2021 katika Hospitali ya HCG Mumbai...
Wakati takwimu zikionyesha Tanzania kuna ongezeko la wagonjwa wapya 50,000 wa saratani, wataalamu wameeleza kuwa kubadili mtindo wa maisha ndiyo...