Dk Bashiru aonya makada wa CCM, kisa mitandao ya kijamii

Thursday October 11 2018

Katibu Mkuu wa CCM,Dk Bashiru Ally (kulia)

Katibu Mkuu wa CCM,Dk Bashiru Ally (kulia) akisalimiana na Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani walipohudhuria kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 19 ya Mwalimu Julius Nyerere, lililofanyika Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere Kigamboni, jijini Dar es Salaam jana. Picha na Anthony Siame 

By Hussein Issa na Elias Msuya [email protected]

Advertisement