CUF yawapeleka ICC Waziri, IGP wa Polisi

Monday May 23 2016

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui,

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui, akionyesha ripoti ya chama hicho inayohusu uvunjivu wa haki za binadamu unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola dhidi ya wapinzani 2015-2016 Zanzibar, wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo uliofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakar Khamis Bakar na kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CUF, Ismail Jussa Ladhu na Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mipango wa chama hicho, Shaweji Mketo. Picha na Salim Shao 

By Julius Mathias, Mwananchi [email protected]

Advertisement