Halotel yatangaza zawadi kwa wateja wake

Monday October 8 2018

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Halotel

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Halotel Mhina Semwenda,(kushoto) akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa mpango wa kutoa ya zawadi kwa wateja wake ambao watatoa mawazo katika kusaidia uboreshaji wa huduma kwa wateja uliopewa jina la Longa Tusonge. Kulia ni Msaidizi wa Mkuu wa kitengo cha Huduma kwa wateja Anthony Thobias. 

By Tumaini Msowoya, Mwananchi [email protected]

Advertisement