Jinamizi la ajali lawakutanisha viongozi, waiombea Mbeya

Thursday July 12 2018

Machifu wa kimila Mkoa wa Mbeya, wakiongozwa na

Machifu wa kimila Mkoa wa Mbeya, wakiongozwa na Chifu Mkuu, Roketi Mwashinga (katikati mwenye rasta) wakiwa kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya kwa ajili ya kuungana na viongozi wa Serikali ya Mkoa huo, viongozi wa dini zote na wananchi kwa ajili ya kufanya maombi maalumu ya kuuombea mkoa ili kuepukana na matukio ya ajali. Picha na Godfrey Kahango. 

By Godfrey Kahango na Ipyana Samson, Mwananchi

Advertisement