Museveni aendesha gari yake mkesha wa mwaka mpya

Sunday January 6 2019

 

Kampala, Uganda. Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, ameendesha gari lake mwenyewe kutoka shambani kwake Kisozi, wilayani Gomba.

Rais Museveni alikuwa shambani kwake kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu.

Alikuwa na familia yake kwenye mkesha wa mwaka mpya katika Kanisa la St John, Kasaka lililopo mjini Gomba.

Advertisement