VIDEO: Eneo linalodaiwa kufukiwa mabaki ya mwili wa Naomi Marijani

Thursday July 18 2019

Hapa ndipo yalipofukiwa mabaki ya mwili wa Naomi Marijani anayedaiwa kuuawa na mumewe, Khamis Luwonga na kuuchoma moto mwili wake eneo kata ya Vianzi Kijiji cha Marogoro mkoani Pwani.

Advertisement