Picha ya simba yaibuka kidedea

Thursday February 14 2019

 

London,Uingereza.Picha ya Simba wawili, iliyopewa jina la Bond of Brothers (urafiki wa ndugu), ndiyo mshindi wa Chagua la Watu katika tuzo za Mpiga Picha Bora wa Wanyama wa Mwaka.

Picha hiyo ilipigwa na David Lloyd, na kuzishinda picha nyengine 45,000 zilizowasilishwa kwenye mchuano huo.

"Nimefurahi sana picha hii kufanya vizuri. Kwa sababu inaonesha hisia za wanyama na kwamba hilo haliishii kwa wanaadamu tu," amesema Lloyd, ambaye ni raia wa New Zealand aliyelowea London.

 

 


Advertisement