Urais unavyoitesa CCM

Muktasari:

  • Wakati baadhi wakibashiri kuwa malalamiko ya makatibu wakuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana yanakigawanya chama na kukidhoofisha, wapo wanaoona kuwa huo ni upepo unaovuma na hupita na kukiacha chama salama

Dar es Salaam. Wakati baadhi wakibashiri kuwa malalamiko ya makatibu wakuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana yanakigawanya chama na kukidhoofisha, wapo wanaoona kuwa huo ni upepo unaovuma na hupita na kukiacha chama salama.

Wawili hao waliliandikia baraza la ushauri la viongozi wastaafu, wakidai wanachafuliwa na mtu ambaye anaonekana anakingiwa kifua na watu wenye mamlaka, barua iliyoibua mijadala sehemu tofauti, lakini ikiibua wana-CCM ambao wanaponda kitendo hicho.

Lakini wanasiasa na wasomi waliozungumza na Mwananchi wamesema suala hilo linaweza kuwa ni mwendelezo wa fukuto linalojitokeza kila wakati rais kutoka CCM anapokaribia kumaliza awamu yake ya kwanza ya miaka mitano.

Kwa habari zaidi soma gazeti la Mwananchi la leo Jumapili Julai 21, 2019