Kuzuiwa maombi ya Lissu kwazua mjadala
Sunday September 17 2017

Kwa ufupi
- Wamesema tatizo linatokana na shambulio hilo kuingiliwa na harufu za kisiasa tangu mwanasheria huyo mkuu wa Chadema apigwe risasi, wakitolea mfano wa zuio la uchangiaji damu, mivutano ndani ya Bunge na zuio la wafuasi wa Chadema kufanya maombi Sumbawanga.