Mabasi yaendayo mikoani kuanza safari saa 11 alfajiri

Monday September 10 2018

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), Gillard Ngewe (kushoto) kuhusu mfumo wa kufuatilia mwenendo wa mabasi unavyofanya kazi alipofanya ziara katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoni cha Ubungo, jijiji Dar es Salaam juzi. Na Mpigapicha Wetu 

By Bakari Kiango, Mwananchi [email protected]

Advertisement