Mafuta ya kula yaanza kuadimika, viwanda vyasitisha uzalishaji

Monday May 7 2018

Mfanyabiashara wa mafuta ya kupikia katika Soko

Mfanyabiashara wa mafuta ya kupikia katika Soko Kuu la jijini Mwanza, Sam Gadson, akipima mafuta kwa ajili ya kuwauzia wateja wa lejaleja ambapo kwa sasa mafuta yamepanda bei kutoka Shilingi 56,000 hadi 65,000 kwa  dumu la Lita 20. Picha na Michael Jamson 

By Elias Msuya, Mwananchi [email protected]

Advertisement