1. Wanywaji wa ‘Energy’ mnalijua hili?

    Kama unapenda kunywa kinywaji cha kuongeza nguvu, maarufu kama 'Energy drink' unatakiwa kufikiri upya.

  2. Daktari ataja sababu watoto kufia tumboni

    Sababu nyingine ya magonjwa ambayo huwa yanachangia mtoto kufia tumboni ni mwili wenyewe kutengeneza vita kati ya kinga yake ya mwili na kiumbe kilichoingia (mimba) inaitwa antibody and antigene...

  3. PRIME Sababu umri wa Mtanzania kuishi kuongezeka hizi hapa

    Idadi ya miaka anayotarajia kuishi Mtanzania imeongezeka kutokana na kuboreshwa kwa mifumo ya huduma za afya na kampeni zinazoendelea za uhamasishaji wa maisha yenye afya bora.

  4. PRIME Maajabu ya tende, faida zake kufungulia Swaum

    Tende imepata umaarufu mkubwa duniani kwa sababu ni tunda ambalo limekuwa likitumika sana katika kipindi cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kama chakula cha kwanza wakati wa kufuturu.

  5. PRIME Pombe, 'energy drink' zinavyomaliza vijana

    Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana.

  6. Mtu chake apendacho hakina ila machoni

    Kwa wakati mgumu wa maombolezo baada ya kumpoteza mhafidhina wa Kiswahili, Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi. Kwa jinsi ninavyozielewa jitihada zake kuienzi lugha yetu...

  7. Misingi ya sifa za wanamuziki imebadilika sana zama hizi

    Sababu ambazo zinafanya mwanamuziki awe maarufu, zimebadilika sana katika zama hizi, kiasi cha kwamba asilimia kubwa ya wasanii walio maarufu katika muziki ni waimbaji.

  8. Binti yako kama hana elimu asikanyage Daslama

    Ngozi halisi ikaanza kuonekana. Kumbe hakuwa mweusi tii bali ni rangi ya chokoleti. Maji ya chumvi, vipodozi, misosi flani, sabuni na mafuta anayopaka. Kombinesheni yote hii ilizalisha kiumbe...

  9. Ni kipindi cha kuweka kando nywele bandia

    Kwa mujibu wa mtaalamu wa hali ya hewa, Rose Senyengwa hali hii inaweza kuendelea hadi Machi, kwa kuwa ni kipindi ambacho jua la utosi linakuwa katika maeneo ya kizio cha kusini mwa dunia na...

  10. Leonarda Cianciulli: Muuaji aliyetengeza keki, sabuni kwa damu na nyama za watu

    Unapokula keki unajiuliza imetengenezwa na vitu gani ndani yake? Mwanamke Leonarda Cianciulli alitumia damu ya binadamu kutengeneza na kuwagawia majirani zake kwa ajili ya kunywea chai

  11. Faida ya tunda hili kwa mwenye kisukari

    Inawezekana ukajiuliza matunda yapi yanafaa kuliwa na mgonjwa wa kisukari.

  12. PRIME Profesa Janabi: Ukifanya haya hutazeeka haraka

    Profesa Mohammed Janabi, ambaye amekuwa akizungumza ukweli kuhusu namna ya kulinda afya, kuepuka magonjwa yasiyoambukiza, safari hii amekuja na soma jingine la kuepuka uzee.

  13. Faida, hasara za kukacha kidato cha tano

    Unaweza kusema ni mtazamo upya uliowakumba baadhi ya wazazi na wanafunzi. Hata hivyo, hali hiyo unaweza kuliita kama wimbi linalotishia mfumo wa elimu nchini.

  14. Uzalendo si muujiza, ni uwekezaji

    Kwanza tupeane pole kwa kumpoteza aliyekuwa kiongozi wetu mahiri, Waziri Mkuu mstaafu bwana Lowassa. Ukiachilia mbali kashfa zilizompelekea kujiuzulu uongozi wake wa juu, tusherehekee maendeleo...

  15. Wanaochangia ‘earphone’ hatarini kupata fangasi

    Kutokana na maendeleo ya teknolojia, kumekuwa na uzalishaji wa vitu vingi vinavyorahisisha maisha ambavyo awali havikuwepo, huku wataalamu wa masuala hayo wakiendelea kubuni vipya kila kukicha.

  16. Kwa nini hushauriwi kunywa maji kupita kiasi

    Kwa kawaida inashauriwa kwa mtu mzima kunywa maji kiasi cha glasi 8 hadi 10 kwa saa 24 au lita 1.5 hadi 2 kwa siku. Lakini bado hata anayekunywa lita tatu hadi nne si tatizo.

  17. Uzee ukizidi unageuka utoto

    Inasemekana mtu akishakula chumvi nyingi anarudi kwenye utoto. Wataalamu wanasema wazee hukumbuka mambo ya utotoni kuliko ya ujanani. Utotoni (na mimi nahisi kuzeeka) tulikuwa na kitendawili...

  18. ‘Valentaini dei’ pisi kali na mwendo wa vibabu

    Wikiendi iliyopita nilikuwa na mshikaji sehemu tunapiga vyombo. Kama kawa stori ni undezi wa mgawo wa umeme na laifu kwa ujumla. Masela huwa hatuna upimbi wa kusema watu kibwege bwege tu.

  19. Visa, mikasa ya mahusiano siku ya Valentine

    Zimesalia siku mbili ifike Februari 14, ambayo kila mwaka huadhimishwa sikukuu ya wapendanao, maarufu kama ‘Valentine day’.

  20. Hakikisha unapendeza hivi siku ya Valentine

    Kiuhalisia watu hupendana kila siku japo kuna mikwaruzano ya hapa na pale na hauwezi kusema siku ya wapendao ndio ninayompenda mpenzi wangu ila Februari 14 hupewa upekee kwa watu kusherehekea...