Mambo manane kutikisa kikao cha makinikia

Wednesday August 2 2017

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Maalumu iliyoundwa na Rais John Magufuli kufanya mazungumzo na ujumbe wa Barrick Gold Corporation kuhusu biashara ya madini yanayochimbwa na migodi ya kampuni hiyo nchini akiwa na wajumbe wa kampuni hiyo kabla ya kuanza kwa mazungumzo hayo Ikulu jijini Dar es Salaam juzi. Picha na Ikulu 

By Julius Mnganga, Mwananchi [email protected]

Advertisement