Maombi yafanyika katikati ya barabara kuepusha ajali

Thursday July 12 2018

Wazee wa kimila na machifu wa kabila la Wasafwa

Wazee wa kimila na machifu wa kabila la Wasafwa wakitembea katika barabara kuu ya Tanzania – Zambia walipokuwa wakishuka Mlima Igawilo jijini Mbeya jana. Wazee hao walikuwa wakifanya tambiko la kuzuia matukio ya ajali katika eneo hilo. Picha na Ipyana Samson 

By Godfrey Kahango na Ipyana Samson [email protected]

Advertisement