Mbunge Keissy achukizwa na matumizi ya dola kununua kope, kucha

Friday November 9 2018

Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM) Ally Keissy

Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM) Ally Keissy akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mapendekezo ya mpango wa taifa wa maendeleo wa mwaka wa fedha 2019/20 jijini Dodoma leo. Picha na Ericky Boniphace 

By Sharon Sauwa , Mwananchi [email protected]

Advertisement